Wengi tumekuwa tukitumia kama mboga
au kiungo kimoja wapo katika kunogesha mboga lakini wachache mno wanaojua faida
za nyanya chungu kiafya. Nyanya chungu ipo kwenye kundi la
mbogamboga zenye virutubisho vingi ikiwemo vitamin A, B, na C ambazo zote kwa
pamoja hufanya kazi ya kuobresha afya ya mwili kwa ujumla.
Leo nimeona nikuletee hizi faida mbili za matumizi ya nyanya chungu.
Ngogwe au nyanya chungu husaidia sana katika kuongeza nguvu za uzazi kwa wanaume na inatibu pia wale wenye ugonjwa wa ngiri. Hizi pia ni kinga iayoweza kumwepusha mlaji kupata maradhi ya moyo. Kwa
wagonjwa wa kisukari nyanya chungu pia ni dawa inayoweza kusaidia katika
kupunguza kiwango cha sukari ndani ya mwili.
Mbali na sifa hiyo ya ngogwe / nyanya chungu pia husaidia kuongeza
stamina na uwezo wa kuvumilia na kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda
mrefu kati ya mume na mke wote endapo watakuwa wanatumia nyanya chungu
katika utaratibu unaotakiwa kitaalam (mchemsho) .
Mbali na hayo, ngogwe ni dawa inayofanana na antibiotic, hivyo ni tunda
zuri endapo likitumiwa mara kwa mara husaidia kuua vijidudu vya aina
mbalimbali mwilini.
Vitamin K inayopatikana ndani ya
nyanya chungu inasaidia kuipa nguvu mishipa ya damu hivyo kusaidia zoezi zima
la mzunguko wa damu katika mwili wa binadamu.
Licha ya kuwa karibu asilimia 90 ya
nyanya chugu ni maji mboga hii pia inajumuisha madini ya chuma na potassium.
Inatumiwaje sasa hujaeleza utaratibu wake unatakiwa ule zikiwa ngapi kwa siku,mbichi au zilizopikwa?
ReplyDeleteKwa siku inaitajika iliwe ngapi au iliwe kama mboga?
ReplyDeleteAhsante kwa elimu nzur Dr. Ila matumiz inakuwaje
ReplyDeleteNgogwe Ni dawa nzuri ya kuongeza msukumo wa damu kwenye uume.
ReplyDeleteUmeeleza vizur sn but hujatuambia matumiz yk inakuje sasa..
ReplyDeleteAsante
ReplyDeleteNAOMBA KUJUA UKWELI JUU YA MADHARA YATOKANAYO YA ULAJI WA NYANYA CHUNGU
ReplyDeleteEnter your comment...matumizi tafadhali ungeeleza vizuri hapo
ReplyDeleteVp kuhusu kuongeza dam ???
ReplyDeleteZinatumukaje mbich au xilizopikwa na zinaliwa ngapi kwa siku
ReplyDeleteAsante Sana
ReplyDeleteEnter your comment...mashaAllah
ReplyDeleteHuyu mwandishi naona bado hajatueleza kinaga ubaga namna tunda hili au mboga hii inaweza kuandaliwa kama dawa. Tujuzane tafadhali
ReplyDeleteHuyu mwandishi naona bado hajatueleza kinaga ubaga namna tunda hili au mboga hii inaweza kuandaliwa kama dawa. Tujuzane tafadhali
ReplyDeleteHuyu mwandishi naona bado hajatueleza kinaga ubaga namna tunda hili au mboga hii inaweza kuandaliwa kama dawa. Tujuzane tafadhali
ReplyDeleteAhsante kwa eimu
ReplyDeleteMim ni mlaji mzur San wa nyanya changu sijawah kuugua hovyo
ReplyDeletewewe unatumia aje an zikiwa zimeandaliwa vipi
DeleteTunachemsha sawa Ila tunakula ngap
Delete